Fuck Pilsner7, Pilsner and affiliated Poisons

Hii kitu ni noma hata kama wee ni mlevi hauwes kunywa mingi hangi yake ni noma

Pilsner ice was the real deal.

Kama ya kenbrew if you ever tasted it, shoots you to the skies and leaves you with a hangover so bad mpaka hujielewi yaani fucked up

Itā€™s like @The_Virus alisotaā€¦ He no longer splashes pictures of the ā€˜best beer in the worldā€™

maybe he discovered it isnt. ni hekaya ya kampuni

Hangii hufanya mtu ajue new meaning ya triple distilledā€¦

Budweiser is actually a pretty decent beer. A lot better than tusker.

Budweiser tastes like someone spilt a beer into that water used to boil maize.

Virus anakuanga kujieka kerathi flani haiko. Pure floss

I had to come and search for this thread. Nilikunywa hii pombe sato, some place had a promotion ya buy 3 get 1 free.

BOSS!!! ata sikumbuki vile nilifika home. Woke up kama nimelala na viatu.

Here is the worst part. Ile hangy hii pombe iko nayo, wah!!! My head was pounding seriously. After drinking 1 litre fanta, mara moja tablets, na vikombe mbili za supu, hiyo hangy wouldnt go. Sitawahi kunywa hii pombe ata kama ni ya bure. Ata sahii naskia mwili haijarudi form.

3 Likes

Carlsberg kupata nowadays ni ngumu

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Mimi niliuziwa nikifikiri itā€™s my usual Pilsner alafu nashangaa mbona taste iko different hivyo. Wah, nililewa na nne kufika ya tano nikainua mikono juu.
It was only later I realized kumbe wame introduce Pilsner 7.

I thought hii post ni yakukamua @coldpilsner

1 Like

Wacha upusss

Nikikunyua hii kitu Friday sato nilikua na post vitu hazieleweki hadi uka comment.Jana yote sikutoka kwa nyumba hio kitu nukama ilitumwa na shetani kwa hii dunia and on the positive side kutoka juzi sijashika sigara .

1 Like

Of late nimegundua imeanza kupotea