From Siaya with love

Bado it’s party after party in this beautiful county. Kujitayarisha kukula Ugali Omena Mala and Osuga. Happy new year. Mnukishe kitunguu kabisa

[ATTACH=full]278304[/ATTACH]

omena ya supermarket huwa ime expire nunua kitu straight from KIBUYE

Hii nugu ijui omena original

Kibuye is 53kms from where I am. Siwesi enda hiyo njia yote

kuna parcel chief

Tafuta original achana na ya milimani law court supermarket

Mwami tafta maziwa smooth ya KCC. There’s no other quality that beats it.

@Okiya i once saw at Roysambu kuna unga ya omena ya kupika uji? have you tried it? tell me about it…

hiyo si ni ya kupika chai? i think alikua anasaka mala

Very nice and healthy. The good thing is that you don’t feel the taste of Omena. Go for it.

Kuna vacancies KCC, cuzo wa mine anadai kuchorwa works

Kupata KCC products ngumu. Hata Nairobi kwa supermarkets kuzipata sio easy

hapo sawa mkubwa i hear you but i have one concern. As we know, omena has different stages before you prepare the main meal as in kwanza
unachoma kwa mafuta then unakaranga with nyanya,kitunguu and other spices. But this one preparing uji you just boil the flour in milk or water
(as in preparing the normal uji), doesn’t it seem or feel like the omena itself in the flour will be NOT FULLY COOKED ? ama iko tu sawa ivo

Unakula omens on New year’s Day?

jaribu kutafuta omena ambayo si ya super ukiwa huko lakeside in other areas its allowed

Omena tamu ni ile imetoka lake leo, waka deepfry ama kupika frash na maziwa.haina harufu hataa kitu fresh. Hii umbwa zimelalia zikikula na kunyambia beach ikikauka is pure chieth and chicken feed in my eyes
Kumbe @lichoti unajua hizi vitu

pigia mimi simu. 30 mins max hio omena itakuwa kwa kwako

He meant KCC mala, cant compare with other brands