Friend/ Bro zone

Wanaume hii wiki mmefungua roho:D
Although tunapenda kujifanya mafisi extraordinare kuna saa zingine unauma nje mbaya.

Kuna mmoja juzi nimemwambia alale poa akareply “Gd nyt bruh”. Nikaona mungu ni mwema amenipea sister mwingine hii mwaka:D

Fungueni roho zaidi

8 Likes

Hii tuliona kabla uingie hio grp ya WhatsApp mna share hii upuzi

6 Likes

You are over 20 years old, meno 32 plus, fully developed brain and body and then you share this nonsense? are you mad?

Hii upuss ni ya facebook.

Mwanaume hufuguliwa roho pale theater na surgeons.

3 Likes

upuss

:D:D:D:D:D:D

:Dhapa ni ukweli kabisaa:D

:D:D:D:D

some years back kuna mwanamke nilienda kufungualia roho, nikaambiwa we need to talk:eek:. i was then kicked so hard into the friend zone i almost got PTSD

8 Likes

:D:D:D:D:D

Been there manze. Long story. That is why I live by a new code with all unrelated females…either we are business partners, friends WITH BENEFITS…or strangers. If I need a friend, I can buy a dog. :D:D

4 Likes

Haha…:D:D:D

New Villager chukua hiyo…meffi

17 Likes

NV amekueka sieke :smiley:

2 Likes

[ATTACH=full]85930[/ATTACH]

9 Likes

Ku deal na madem ni kama sports pesa kubahatisha tuuuu.

1 Like

Well put. Boundaries zina markiwa na mapema tukaange tumejua

scratch the “fully developed brain” part…

Hii ndio welcoming 101?? :confused:

2 Likes