Fridge and freezer repairs in Nairobi and Thika. 0700692078

Fridge and freezer repairs in Nairobi and Thika. 0700692078

Yangu inanguruma kaa tinga sometimes
Also sometimes when power is gone it smells kama maiti nini shida?
I think imekaa around 3 years

Labda nikuangalilie

I need a thermostat for my fridge…pesa ngapi?..Hotpoint

Mine is running constantly 24/7 days. How much will it cost me to fix that?

Huyo ni fundi mangungu!

Thermostat ya side ya freezer ama fridge

Zote ni 1,000 but yenye hutumika kwa fridge huwezi tumia kwa freezer

Thermostat ama sensor kuna moja yake haifanyi…but the best thing ni kuangalia. Sifanyangi guess work…na ukiendelea hivo uta overwork conpressor ichomeke

0700692078 is my number.

Okay mistah.

Reach out to your customers…there’s potential here…hata small enquiries huwezi jibu ba ati unaomba jobs hapa?

Upcountry hakunanga network ya telkom.

Then the best thing is to reach me via a phonecall coz not everytime am online

For your case,fridge zote zi hunuka ju mostly food inaeza kuwa imespoil ukose kutoa haraka. So stima zikipotea ipoteze baridi lazima inuke.
But osha fridge yako haifai kunuka sana
Alafu kunguruna vibaya, maybe oil imesisha sasa inakula piston. Or winding za compressor zina tear.

Yangu ikizima automatically kabla iwake tena huwa inatoa some strange sounds. Then inawaka na kutulia. About 2 years old. Sijui tuangalie?

NV hats mbiashara hajanyita…fuata watu inbox

Yeah…kuangalia is the best thing

Fridge, Freezer, Refrigerator Repair in Nairobi