Friday Vichekesho

1.Umeshawai kuwa single for long hadi ukaamua kununua viatu vya madem, kisha ukaviweka mlangoni ili majirani wakipita wajue una demu ndani

2.Jana nimepita nje ya Nakumatt na venye nimesota. Nikakumbuka vile nilifanya shopping mob uko Xmas. Ikabidi nimechuna iyo ndovu yao maskio

Home leo wameniuliza naoa lini umri umeenda, nikawajibu nitaoa umri ukirudi.

Saa hii niko mezani sioni chakula, I think leo tumefunga

Dem: Ambia Dere aongeza volume tuskie Mwalimu Kingangi

Konda: Ungeskiza Mwalimu shule ungekua na gari yako, si kutusumbua hapa na Kingangi!

Landlord amepatia kila msee kwa plot calendar halafu amecircle date six na red pen. Sijui kama hiyo ndio holiday ya plot tuangusha bash?

Kama umeoa na kila asubuhi ukiamka huwa unaona ni kama unapoteza pesa kwa wallet usiku

Weka Condom kwa wallet yako, Utajua mwizi ni nani!

Mlevi ameingia choo ya wanawake

Wanawake wakapiga nduru wakisema “hii ni ya wanawake”

Mlevi akafungua zip akasema “hii pia ni ya wanawake”

TEACHER: Andika aina za magonjwa
OTIENO : Cold and Flu
WAFULA: Malaria
KAMAU : /
TEACHER: Kamau, hiyo ni nini umeandika?
KAMAU : Stroke

JUMA: kitendawili
MADAM: tega

JUMA: toa nguo unipe utamu
MADAM: unadhani mimi ni mwanafunzi mwenzako?

JUMA: jibu ni ndizi

Fisi Ni Fisi

Landlord wetu ameweka padlock kama profile pic na status “sitaki excuses”

Mimi nimeweka hacksaw kama profile pic na status “siezi lala nje”

2 Likes

Kwe kwe kwe

uko down tu sana NV…

2 Likes

NV umeingia na form ya mukuru kwa zuckerberg, ngoja kiti ikuje

1 Like

NV wewe ni wa NASWa, chupilee ama apatheid? Wherever you are I wouldn’t like to be associated with your type.
MEFFI

1 Like

:D:D:D:D

4 Likes

U mean you don’t find the jokes funny? You guys are weird. I sent this to our family whatsapp group and everybody laughed so hard complimenting me that I should join Churchill show

2 Likes

they are a bit slow

3 Likes

Ok but to me they’re funny

https://pbs.twimg.com/media/C3EolzVUYAAR_5l.jpg

7 Likes

Peter Mwangi you’re a slow learner,nyinyi ndio kwa darasa mulikuwa munakaa kando ya dirisha,masomo ikikufikia ina evaporate yote,sadness of being a parent.

4 Likes

[ATTACH=full]80379[/ATTACH]
Mbwa wewe! Keti hapo

3 Likes

:(:frowning:

Tough crowd…

1 Like

@TerribleWaste

1 Like

Kijana hapa so shosho midia hapa ni mathare mental (nerds playground) umeffi usituletee

Haha now this is funny…ati ujoin chirchill show wah

4 Likes

Ulishasema they are your family
We are not .

3 Likes

[ATTACH=full]80388[/ATTACH]

7 Likes

Anyone who finds anything funny in these “jokes” could be mentally compromised. Pure crap!

2 Likes