Friday Unwinding

Ndio naanza. Weka stamp hata kama ni Blue Ice na Jugdaniels.
[ATTACH=full]373463[/ATTACH]

Hiyo ni KEG ya Heineken ??

Yes bro 5L. Perfect for house parties. @Sokwe mtu kuja uone nyama. Not those scorched hooves and kidneys you poison your stomach with.
[ATTACH=full]373466[/ATTACH]

The most consumed legal drug. Burudika

[ATTACH=full]373478[/ATTACH]

Njag Daniels[ATTACH=full]373479[/ATTACH] Tuko hapa kabla ya curfew

Poker night na ma pokohunters. Vinywaji huko mbele
[ATTACH=full]373482[/ATTACH]

Niko huku …[ATTACH=full]373486[/ATTACH]

We can see your reflection in the keg

Hii imefika 3rd world kweli? Ama wanaogopa hatutaaford?

Naona finally umepewa Visa ya majuu atleast utoke Muchatha, uone dunia? :D:D:D

Hio pia ni maendeleo.

Na si uko na kipara kubwa

[ATTACH=full]373639[/ATTACH]