friday ulevi jack daniels

Last time aliweka picha mzinga ikiwa kwa meza. Elders wakaingilia yeye of how a peasant he is. Hawezi rudia hiyo blunder tena

Mbona ukunywe JD kama hujiwesi kabisa? Alafu I hate watu waki dilute hizi pombe kama mafala mpaka glass inajaa.

[ATTACH=full]400699[/ATTACH]
Tukuamini hauko kwa liquor store aiseh. Hii ni saf sana[ATTACH=full]400706[/ATTACH]

Toa seal tuamini.

This time hutaki tuone krest na Kenblest :smiley:

Hizo viganja Bana kwani wewe ni fundi wa mjengo?

Tomba shida, incorrigible idiot kinyosi wa fudhii

:D:D

I am suspecting he is either an experienced loader/ offloader or a VERY mature midget citizen.

Pili pili usiyoila…ama wacha tu