Friday manenoz...

You guys have good weather…Damn! I can’t remember the last time i saw blue skies.:frowning:

Homa ndio excuse ya kunywa fobe:D:D

1 Like

Kumbe sio mimi tu hukimbizwa na headache. Nimebaki kunywa tu selective whisky. Vat, Brandy,Vodka zote nikiguza tu lazima iandamane na MaraMoja

Hiyo camera yako iko true.

1 Like

Nah I took several shots of smirnoff vodo dry! Then I took natural honey… but wapi. Finally nilienda hosi

poa, mambo?

Import inaingia lini?

1 Like

Import is expected on Wednesday evening, has opted for the day bus this time.

Mambo shega huku Mambasani. Twajivijari na kupunga hewa kidogo tukingoja tuone ijumaa hii itaisha vipi…

1 Like

kwani jaba huuzwa supermarket lol

[ATTACH=full]30133[/ATTACH]
Not a single cloud in sight

1 Like

ati shega lol… hicho kishwahili joh…

I want to download my favorite series… once upon a time…

twisted my ankle, Niko home watching person of interest with @Supu don

2 Likes

really… post a pic

:eek:

3 Likes

https://www.youtube.com/watch?v=KuVAeTHqijk

1 Like

Leo sitaki stori mob,naenda kumalizia mzinga ya tequfila mdogo mdogo na ka-series,nani na nani wametch ‘billions t.v series’ wani-show vile iko?

2 Likes

Three kms to go.
[ATTACH=full]30139[/ATTACH]
To a cold tusker.
[ATTACH=full]30140[/ATTACH]

[ATTACH=full]30141[/ATTACH]
Grammar nazis naomba msamaha in advance

3 Likes