FRESHII....

Kilalo iliisha ikabidi nichape freshi. Boko Na mrija taratibu ndio masaa ya yasonge. Leo naskia Tu tiiiiiiiiiiii kwa kichwa. Mamake Mapenzi aliniangusha kukosa my drink.

@TopCat niaje?

[ATTACH=full]18128[/ATTACH]

3 Likes

I am good @Mzee mzima

@Meria Mata maisha ya malindi sometimes ni fun. Uko off the whole day Na huendi beach. Unaingia mangwe after lunch Na kaptula Na hizi sandals za akala to blend in.
Unaitisha chupa,unachomoa mrija wako Na unapewa boko. Kazi nikuvuruta mnazi mdogo mdogo bila stress. Huku unaskiza Ki giriama…naanza…ndakurihire haha…vinzee…magana mairi etc.
Ukihisi njaa Kuna mama wa supu ya marondo imewekwa pili pili,limau Na vitu zingine sijuagi ni nini.
Unatuliz bila wasi wasi huku Una enjoy the drink direct from the tree. Unachapa zako mbili…six inafika unarudi keja mdogo mdogo less 130bob.

4 Likes

I can’t wait for 7pm

[ATTACH=full]18132[/ATTACH]

[ATTACH=full]18133[/ATTACH]

1 Like

chunga usipewe kunguru ukathania eti kuku, it hapened here in mishomoroni

2 Likes

Nice…Nimeona nikusalimie leo you’re one of the coolest people around

1 Like

http://media5.picsearch.com/is?SPyXtrZ5y0vLnzglZ9jouWUyy-Vccntd0kbZKxy99Jk&height=321

Niko malindi mzee. Organise lunch munene

2 Likes

kumbe wewe ni wa mtaa buda.

1 Like

Leo pia mimi laziwa nipewe absolute chupa sita zile ndogo

1 Like

Ndugu @bjurmann chunga usipotelee pwani. kama saa saba unusu kichwa ni tii ogopa…

1 Like

very much around, home base ni north coast.

kwani watu wako na pesa aje. Mimi hii kitu naionagia kwa tv i say

3 Likes

hio ni gani?

iko mtaani but sidhani eastlands utaipata. Pengine tao westie, hurlingam pande hizo

goodstuff though. enjoy!

Kwa kq

Kwa kq