kumbe si mimi pekee inabore
1 Like
anyone (apart from me) ame comment kwa huu ujinga ni meffi
1 Like
Sawa Mungiki Wannabe.
1 Like
:D:D:D:D:D wacha nicheke
shiaat…RKO
1 Like
Apo kwa blue de chanel apo sawa.
1 Like
Unaamkia kipikia mhindi halafu unakuja kutuambia harufu ya kitunguu ambacho kimeungua ni cologne? Meffi
That Cologne is fresh… but costly… mad props to you if it’s an original …
[SIZE=6]WTF is this[/SIZE]
2 Likes
You know it eh? You use it?
Boss,kama food yako ingekua ni somo katika darasa ,ningekua naanguka daily ju sishikanishi ni nini inafaa ikue .alafu,why yellow?
Pasta (Spaghetti).