freezing

What is happening bana nimeingia kwa nyumba and am freezing hiii global warming kwani imekuwa global cooling . Clichy naye amejifunga ndani ya blanketi yaani hata watoi hawawezi cheza nje . Naweza buy wapi zile heater za hao .

okey, my friend, we agree it is cold but surely you sincerely expect us to believe you don’t know where to buy heater?

nunua kuni ama makaa washa jiko

Ka huishi nyumba enye ina modern fireplace wewe ni peasant 101. Meffi.

[ATTACH=full]116336[/ATTACH]

Try Tuskys supermarket

Baridi kitu gani, sisi watu wa Ol Kalou hautambui baridi. Inakunjanga kutoka Aberdares ni kama imetumwa, lakini tunameza tu.

[ATTACH=full]116337[/ATTACH]

Na sasa huko limuru kuko aje?

Nataka ile industrial ni install kwa the whole house .

Bibi asipofika in twenty minutes naingia black ops helmand province

That one is gonna cost you an arm and a leg

The landlord wont allow that.

Sijarent nyumba kama wewe shemale mungich

Side gani za Olkalou, that place was hell

Rurii.
I have literally watched dew form on the grass as we were roasting meat at 1am.

Uncle…enda carrefour.

[ATTACH=full]116339[/ATTACH]
Kule county bado nikubaya zaidi lakini watu walizoea

Sawa… niachie password ya telekram just incase uzungushwe hii nairobi yote na battalion

@uwesmake na hii mnyanduano yako yote you got only one son? Who is to blame?
Methinks you…unamwaga kila kitu kwa hao makuro ukifika kwa The Mungich Princess hakuna kitu…

I stayed in Olkalou town for some time. Asubuhi ukitoka nje mikono imefreeze