Freedom Only Found In Africa

https://x.com/wallstreetapes/status/1874514847020487079?s=46&t=BH6h7QIXWsDUqohBm7IVBA

2 Likes

…and i have learnt simplifying life sio rahisi. Kufikia that level hapa kenya ni ngumu sana. Ati ukona mifugo, maji ni yako, stima ni yako, unalea kuku yani unajitegemea hadi umelima mboga na kadhalika…sio rahisi lazima mtu ajitume yake yote.

Many kenyans wenye wako outside power grids wanaishi hivi. Uliza watu wanaishi ushagoo they will tell you. Solar power, borehole, kuku kiasi na unalima.

2 Likes

It’s even better if a river passes through your farm

1 Like