Free WIFI in Naks

Wapenzi wa mitandao katika kaunti ya Nakuru wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua WiFi ya bila malipo katika kaunti hiyo.

Wenyeji wa kaunti hiyo wanapata huduma ya WiFi ya bure katika sehemu zote za umma kwenye kaunti hiyo.
Kama ilivyo kawaida mabingwa wa hii kijiji hawakupoteza wakati na walihamia huko mara moja.
kwa mbisha munamuona @Deorro @highschooler na @Web Dev @Unicorn is camera shy lakini pia yuko
Picha ya free wifi watatuma
[ATTACH=full]7721[/ATTACH]
if you also plan to go there see @ol monk for password, akiitisha pesa please notify @Wakanyama

1 Like

hahaha mimi siko naks :smiley:

hahaha

Inakaa hapo @Deorro anasoma comment ya @Female Perspective

Wangefanya that ni lazima uitishe mwenyeji Nakuru password in order to encourage interaction.

serekali ya kajiado county inafaa utuletee pia in these small small towns of ours

1 Like

Huku hayo yakiendelea gavana wa county ya meru anaendelea tu kubishana na serikali kuu uku akijifanaya kutetea maslahi ya magavana. Na kiswahili si lugha ya mama zetu

Bilawaya! nax vegas hoiyeeeee! lakini Itumbi kalipepeta doh kwa hio deal how many hundred millies?