[MEDIA=twitter]1541799141713399810[/MEDIA]
Majamaa now is the time kunukisha ngimanene kwako, all taxes,levies and duties on maize imports have been done away with. Majamaa take this opportunity mkule ngimanene
[MEDIA=twitter]1541799141713399810[/MEDIA]
Majamaa now is the time kunukisha ngimanene kwako, all taxes,levies and duties on maize imports have been done away with. Majamaa take this opportunity mkule ngimanene
Meli zilikuwa zinangoja hapo open seas. You’ll then wonder how a fully loaded cargo ship arrives at port Ina record 2 days na Mexico is 6 weeks away.
Uhuru ni mbwa
Sasa izi ni gani sasa? Ndo nmetoka tu kununua bale mzima nipelekee mama @Azor Ahai one packet per shot washenzi wakaamua kupunguza bei. Hasara sana
Ushago ni wapi. Kwani hamunanga mahindi kwa storage?
Tuko na mahindi. Ni venye huwa napelekeanga mama @Azor Ahai packet moja ya mahindi kama malipo.
:D:D:D. Uhuru ni mbwa yeye. Niko sure hata meli zimebeba raw materials za cooking oil zimetegea tu kwa open seas
Umeanza vpoa alaf unaharibu kuingiza jina ya mtukuf rais. What’s wrong with you?
Mahindi ni kutoa Kwa granary na kusaga
Chukueni hii nafasi ya kuimport mbembe za kupipinya zitoe mafuta kama Elianto and you’ll be hysterically laughing all the way to the benk
Wale wa “rice” aheshimiwe wako wapi … Meffi ya kuku yeye.
Unaskia MUNYA ati those hoarding maize meli ikifika apa msiongee
Wangewafinya makende kabisa hadi mjifunze kula vitu tofauti. Bonobo wanameza sembe kaa burukenge uko nje aisee. Hunaona jamaa anashika ugali mkono mbili ameitisha saucer … unashindwa alaa…
Beberu young huko badlands ni ma ngapi
8k gunia ya 90.
Meli inakuja, mtauza 1500 mpate hakiri
Kitambo mambo na logistics na nini, we’ll have made a killing.
Nani ananunua na mahindi cheap is about to flood the market in one week? Hio meli iko just over the horizon, sio mbali.
Lorry zinapitana kwa store hapa Ktl … machine imekuwa ikisiaga Unga siku tatu straight. Woriah … na order za sister wa Catholic schools uko Lodwar.
Sharap!!
Hiyo mahindi imeletwa na Ile familia. Mnaangusha irrigation scheme ndiyo muweze kuimport mahindi.