Ebu tushare hizi tricks woiyee ama config files:point_down:
Where?
2015, ORANGE DAILY UNLIMITED BUNDLE.
Keti pale…
Google the name papi hex
Hizo zake most of them dont work
Dm
Niko na youtube tunneling file ya http injector…
Tell me more
Go to google play store and download ‘HTTP injector’.
Dm i send you youTube file.
Dial *544# buy youTube bundle ya 10bob valid for 3 hours.
Open Http injector then import ‘youtube file’.
Enjoying browsing polepole on Facebook, tiktok, ig,google chrome,opera etc.
Rusha iyo file inbox
Ile file ya unlimited saf ulinirushia last time snitches walichangamka ikafungwa within 24 hours
Nimerusha. Ongea na @Condor ndio gwiji kwa sector ya free Internet files. Amewai nirushia unlimited safaricom file.
Inakuwanga hivio mafala must snitch… Nimetoka kusoma thread yako ya smuggling sugar from busia very eye opening.
Swafii, Niko ndani ndani
Rada ni safi?
Hiyo biz iko fiti sana bora ukuwe mjanja na kapesa unakafunga kabisa.
[quote=“Bobaa, post:8, topic:452604”]
Niko na youtube tunneling file ya http injector…
Nisaidie hii plsSaidia Mimi pia