Free advice

Kuna thread hapa chini imenikasirisha nikaamua kupeana free advise hapa

  1. Hakuna kitu kama mgtow, sijui yellow pill, mara amerix, red pill, plantation. There is a reason why our creator made our dicks different because everybody runs his race. No one knows it all.
  2. No woman can love you hakuna kitu kama hio. Hata wahenga walisema men to love their wives who are supposed to reciprocate it with respect. Hii upuzi ya ati my wife loves me even lions the kings of the land only demand respect .
    3.men should provide hata kama unapata salo kidogo you ought to provide for your family. Ujinga ya kupewa pesa na wanawake mwache.
  3. Mwanamke akiamua anatoka wachana tafuta mwingine kuna wengi even at 80 bado utapata bibi ukitafuta mwache hii kitu ya yellow pill ati juu uliwachwa…
    5.as a man conquer many lands…hii siifai kuambia watu
  4. Avoid authorative women there is a reason why a man is supposed to be the head…females lack rationality especially under pressure.
  5. Tafuta pesa hii dunia wewe ni mtu according to vile unaweza provide…uwache kuplay second fiddle.
  6. Be a man exhibit testosterone…mwanamme inafaa ukue rough, usikue unatishika, embrace pain, rise above your inefficiencies. Hii kama hukudevelop ukiwa kipii pole sana…

Mwache hii tabia ya ooh simp, beautiful boys, purple pills kueni wanaume.

@Karoga hebu kuom faster @dr.n ameongea kama wahenga 99

@dr.n tangu u graduate from med school leo ndio umepost kitu ya maana. Hope huja tumia nguvu ya mwakenya.

:D:D:D:D:D… MGTOW= FREEDOM…All the good dokta has said emanate s from a detailed understanding of red pill philosophy tenets .

:D:D:D:D:D
Hio number 2 nayo…:D:D:D:D…yaani hujusahau kile naniih alikutenda…bado ina kuwasha washa…kubali iishe ndio hali ya kuwa mwanaume :D:D:D:D:D.

@Karoga kam kiasi upigwe lecture na doktari

Pin this thread please @administrator @Electronics4u

I support number 2, sahau mapenzi na uitishe heshima.

Sawa Daktari.Hapo umenena ndio maana nakupendaga

[ATTACH=full]396135[/ATTACH]

kuna dem fulani ameletea Ombija mdomo refu pale citizen nimeskia kuingia ndani ya TV nimpige kofi ya mdomo

Niko na swali dagitare and it’s not a dig at you. Kukua na depression ni tabia ya mwanaume kweli?

Hii ni red pill daktari

Unaona news saa mbili weekend kama mama

Kuna Umbwa hujiita cute brown boys association kujeni hapa @MikeOck na vice president @Azor Ahai

wanasema ako na ile ugonjwa inaitwa bipolar disorder
[MEDIA=twitter]1456709057407070221[/MEDIA]

Anzisha Jealous Boys Association ujiweke kama chairman

I disagree wholeheartedly

Not unusual for a village simp

Pewa stethoscope mbili kwa bill yangu doktari