Fracas hood

The time is 8am today and two burglars accosted this M-pesa mami as she sets up for the day
They’re very much jumpy and restless because it’s not safe
Onlookers get wind of the situation and try to intervene to stop the daylight robbery in motion
Most times they are just posted at a safe distance from the shit but huku Salem watu apana taka kujua hiyo upus
so when the onlookers started enclosing on. them wakaanza na mawe. one of the thugs was hit on the back of their head hadi akapata dent
The other one saw this akamsignal mwenzake they leave ju walikuwa na nduthi
so kuona wanadai kumea some ROG driver came through kivigilante and boxed them with his mathree ili wasihepe
So they dashed off but the Guy who had a gun was bitter ju morio wake aliumizwa So akatoa mguu na kufyatu aki aim kwa dere wa hiyo ROG straight
ilikuwa ka muvy, dere akaduck fee so hiyo pojo ikaland kwa mkono wa the mother who was seated on his left side
the perfect diversion so madingo wakalost hivo
Uzuri ya wasee hood huyo matha alichangiwa doh teke teke mpaka hosi akarushiwa hosi na personal ya msee tu hivo
Nikiripotia kijiji jina langu ni hilo hapo juu…

4 Likes

hekaya nzuri lakini salem ni karibu na wapi?

1 Like

Salem ni karibu na Uhunye esto

2 Likes

Jerusalem is the name, Salem ni short form

1 Like

Jerusalem (salem) ni karibu na jeri (Jericho) na unye (uhuru)… Bandit/peasant infested areas of Eastlando (eastlands) Nai (Nairobi)

4 Likes

Habari tunayo, shukran

1 Like

Did they get away w/any cash?

Kuna mwenye aliuliwa?

Pojo ndio nini?

Pojo=Ndengu=Risasi

@uncle nyam what if your mother lived there

apparently not because they got cornered before stealing any

thankfully there was no death just casualties who were attended to in good time

I refuse to discuss my mother with strangers… Relax it was just a joke… Maybe i grew up in worse places. you never know… .

1 Like

LOL OK it’s no biggie

1 Like

Sawa tumejua unaishi Salem au Uhuru estate

salem, jeri,marish ,uhunye na kissment ni mitaa moto

tulia

Marish nilihama day nilipigwa panga place ingine apo ilikua inaitwa “kwa Agunda” hapo karibu na number 10

uwanja soo jeri ilikuwa swara tupu…vijana wengi walikula ndegu sana