1 Like
such a dangerous profession for a beautiful young gal . Tax driver ni KAZI ya masaitan kama @MajorProphet who is the predator
1 Like
Taxi driver ni kazi risky saidi
@Kahawa_vajo bado uko na hopes na hio sekta…
1 Like
Kuna omwami aligeuzwa kichungi kimchezo tuu some years back. Alichukuliwa car hire kumbe amebeba migondi inatafutwa. Depending on who you ask, colleagues wanasema alikuwa collateral damage D- wanasema alikuwa idhaa. Huwezi jua ukweli
4 Likes
Kila kitu ni risky. Ukiamka piga dua sema asante ngoja siku yako
1 Like
Very risky business
1 Like
Can’t trust D-
1 Like
Ukirudi Kwa nyumba jioni shukuru mungu.