Mimi kama citizen wa kayole, nataka kushukuru hii company. Good drivers, makanga wanarudisha change, wamama wanapewa kiti. Na hawapitiangi vichochoro kama pinpoint. Acha niendelee kuskia huyu jamaa.
[ATTACH=full]21052[/ATTACH]

[ATTACH=full]21059[/ATTACH]
sasa bado wi-fi
republic of step one!:D:D
hizi wi-fi za mat hua zinawork only the first few weeks nganya ikiwa mbichi
Nice try, shareholder.
Niaje Matendechere
111 na 126 tunaenjoy sana
Forward, pinpoint, Ummoiner et al are bed bug incubators. It’s rare to ride in them and come out clean.
Na bado ule dem unakula ni wa hizo sides. Kwani matatu za route yenu iko na bafu you come out clean??? Sirry.