NI hino ama
Kodivoa wewe ni makanga ama huwa unalipisha rooms pale calabash?? Site yako ni gani ?
isuzu
Imeandikwa isuzu very clearly ama you are just a born dimwit
Zinaenda kangundo road, Ile compe iko pale Wacha tu
Watu wa kangundo road wanajua FT ziko na kunguni Kwa viti plus watu hawana adabu so pass
Hizi ndio iko na kichwa za lorry? Mistubishi FH nikidhani.
Nimewahi panda moja bana ikiwa empty watu hawapandi wacha ijae mamorio wajaze wakisimama kwa aisle.
Bana ukitaka kushuka unatokea mapema mkifanyana mahaga na wasee.
Niliambiwa zile zinaenda tao mala route ni brandy…wachana na zile meshogi Huwa na bedbugs ajabu, nikiisha saika nilizipeleka nyumbani banae…alafu ni Mimi tu zilikuwa zina mumunya damu hapo masaa tisa usiku…ilibidi nmepeana vitu zote kwa msee wa kuuza mali ya orodha
Good opportunity ku rub msedes kwa matanye za wamama wa soko…unajifanya una squeeze by
Forward si ni za Sonko kama zote