Fort Tenan Bus Accident. The bereaved and few survivors itabidi wajipange

It is claimed that the insurance of the bus expired 3 months ago. So compensation onge.

wueh… mimi mwenyewe insurance ikiexpire kwanza lazma niendee ingine ndo gari itoke parking na gari yenyewe mimi ndo mwenye kuendesha. hizo ngombe inapatia walevi gari bila insurance? lakini ata wako wapi hao watu siwamekufa wote?

If this is true, then cops wote walikuwa duty on that route jana wasiachwe.

corruption is expensive fellows. i hope relative mmoja wa KES, police and NTSA who approved that bus apatikane kwa hiyo accident wajue how other kenyans feel because of their corrupt ways .It bites back eventually

Si hiyo ni krimino.

hapa ndio nasema wabadilishe katiba tuongezee clause ya wajinga Kama hawa wamalizwe na firing squad.
Unawezaje endesha Gari ya kubeba abiria bila insurance for 3 months? enyewe Kenya tuko ligi yetu pekee

As a society we are collectively doomed! Nobody cares about laws

The arrests should go three months back. PSV haiwezi pelekwa for 3 months bila insurance na cops wasijue. Range Rovers and V8s yes, lakini PSV is a No

na vile hizo nyangau husumbua watu wa pikipiki

This is where we’ll see whether there’ll be systematic changes, or just band-aid measures. An avenue to judge your elected representatives.

lakini mwenyewe ndiye atapata shida,itabidi alipe,niliona bibi ya gikaria yule mp akiambiwa alipe 800k

Hapa huyo mwenye basi smeicha… gari bila insurance isathrow

125 millii tz money, hapa sijaona amerusha kakitu.

Cops were bribed to look the other way. As @Abba said, the price of corruption and cutting corners is very expensive.

Halafu the night travel license had been revoked.

ukweli tu comprehensive ya hio mat iko juu , i am in the industry saa zingine biashara ikiwa chini we put fake stickers

I know you guys mnapunguza premiums za PSVs below the AKI regulations. Meaning incase of accident compensation ni pesa ndogo

Sometimes tunachekelea tz but wanajaribu. Why have traffic cops along the highway when a bigger concentration should be at the bus station inspecting the bus before the journey starts. That would save us alot. Kama hii basi bila insurance haingetoka stage.[ATTACH=full]199923[/ATTACH][ATTACH=full]199924[/ATTACH][ATTACH=full]199925[/ATTACH][ATTACH=full]199926[/ATTACH]

^^^^ I agree about that in Tz, we should take some of this lessons

we wish, not possible by the way