Forex Training

[ATTACH=full]157766[/ATTACH] [ATTACH=full]157766[/ATTACH] UNATAKA KUWA KATI YA WATU 200 WATAKAOFANIKIWA MWAKA HUU 2018?

UNATAFUTA UHURU WA KIUCHUMI?

UMEJARIBU FURSA MBALIMBALI UMESHINDWA?

USIKATE TAMAA HAKUNA MTU YEYOTE ALIEFANIKIWA DUNIANI AMBAYE ALISHINDWA MARA MOJA TU NO I SAY NO WALISHINDWA MARA NYINGI LAKINI HAWAKURUDI NYUMA.

Shika msemo wa ROBERT KIYASOKI usemao mtu akikushirikisha fursa mpya usidharau jiunge na ujifunze hiyo fursa kwa makini yaweza kuwa ndio fursa itakayokutoa kutoka hali duni ya kiuchumi kukupereka katika hali nzuri ya kiuchumi"

NINAKULETEA FURSA MPYA KABISA AMBAYO WAJANJA WA MJINI WASHAICHANGAMKIA NA KUTENGENEZA PESA KILA SIKU KUANZIA JUMATATU HADI IJUMAA, SIO NYINGINE NI BIASHARA YA FOREX AMBAYO NI FURSA KUBWA NA NAMBA MOJA DUNIANI.BIASHARA HII INAFANYWA NA WAJANJA KAMA WAKINA:
DONALD TRUMP
ROBERT KIYASOKI
SHEPHERD BUSHIRI
SANDILE SHEZI…nk

Biashara hii ni fursa kubwa inamzunguko wa dolla trilion 5 kwa siku…ambapo na wewe unaesoma huu ujumbe inawezekana kutengeneza $50+ (tshs 100,000+) kwa siku ukiwa na simu yako na na internet simply!

Najua unataka kujua inakuaje TWENDE SAMBAMBA…

Mimi na timu yangu tutatoa semina ya FOREX kwenye mambo muhimu ya forex katika wiki ya kwanza mwez wa tatu(2/3/2018). Hiyo semina itakuwa ya siku mbili tuu…na itakuwa bure kwa njia ya whatsapp

Baada ya semina nina uhakika kila mtu atakuwa na uelewa 60% juu ya kufanya hii biashara. Baada ya hapo tutafungua demonstration account…(bure bila mtaji wowote) kwa ajili ya kufanya mazoez…tutafanya mazoezi ndani ya week nzima nzima…na mimi na timu yangu tutakuwa tunatoa pair zote kazi yako itakuwa ni kucopy kupaste na kusubiri faida…

Wiki ya tatu watakao wamejiridhisha kwamba somehow wanaweza kutengeneza kutengeneza walau tshs 50,000 kwa siku wataruhusiwa kuweka mtaji na kuanza biashara tutawaongoza bure mwezi mzima

Baada ya hapo tutakuwa tumekutengenezea uhakika wa kutengeneza kipato cha ziada kila siku, masaa 24 ndani ya siku 5 za wiki.Lengo letu ni kwamba kila mtu awe na uwezo wa kutengeneza zaidi ya laki9 kwa mwezi…laki9?? Ndio laki9

SWALI JE UNAJIUNGAJE NA HAYO MAFUNZO??

Cha kufanya tutext whatsapp kwa hii namba +255755269884 tuma text ikiwa na jina lako pamija na ujumbe unaosema NIADD FOREX SEMINA 2018 wote tutawaadd tarehe 2/3/2018

NB: TUNAHITAJI WATU 200 TUU! kwa hiyo ukiwa wa 201 utasubiri awamu ya pili ambayo itakuwa mwez wa nne mwanzoni 2018

KARIBUNI SANA
MAFANIKIO NI HAKI YAKO YA KUZALIWA.
2018 NI MWAKA WA KUINUKA KIUCHUMI

AHSANTE

UKICOMENT NAMBA HAPA HATUTAKUADD TUTEXT WHATSAPP TUU![ATTACH=full]157765[/ATTACH]

Nope. Sisomi

Funda+

He he he, and you thought to tell this to us in Kiswahili?

kalubandika unapeana semina ya forex na eti after seminar mtu atakuwa ameelewa 60%…ile bangi unavuta…u dont knw shit about forex wewe
hii kijiji ya watu wamezinduka eti 60% wina ngoma wee

Chuja mtu, kwani job yako ni gani?

Najua mpo mnaoijua forex ndio maana mnataka kuwapotezea wengine wasiojua kama haikufahi si uipozee kwani lazima ku-coment maneno ya kashfa kashfa…au ndio akili za kitoto zimewatawala…ujuaji na maneno ya kejeli si hekima kwa mtu mwenye akili timamu

Samahani kama coment yangu itawakwaza lakini nimejaribu kuwaeleza ukweli…kuweni na hekima bana kama unaona haikufai potezea tuu kuliko kutoa maneno ya ovyo

Reading this feels like a blender grinding nails in my brain.

Shida yako ni nini specifically? Dude. If you want to communicate choose a suitable language. What you have done is succeeded in making something boring much more boring. To make it worse it is long AF. I swore off kiswahili vile nilimaliza highschool. Next

Kama hujui kiswahili sio lazima uelewe kila kitu kinacho postiwa humu…

TanzaniaTalk