For your eyes only

I know 99% of the villagers in this kijiji have not yet been blessed to experience business class of Emirates A380 (ile ya gorofa)

In this regard, and without further ado, walk with me na msefishe macho :D:D

Warm welcome to my personal lounge

[ATTACH=full]169200[/ATTACH]
Nothing but the finest champagne…watu WA KC mpo lakini? :smiley:
[ATTACH=full]169201[/ATTACH]
[ATTACH=full]169203[/ATTACH]
Playlist on point na hizo Bose noise cancelling…
[ATTACH=full]169204[/ATTACH]
[ATTACH=full]169205[/ATTACH]
Mini bar nayo…
[ATTACH=full]169206[/ATTACH]
Otherwise, how was your day lakini? :D:D

Wacha ujinga. Kama haijaandika jina yako kwa menu ama ufungue passport tuone jina yako, hizo picha syote ni ushienssss!!

sawa tumekubali

swali tu HIO NDEGE NI YAKO AMA YAKO UMEWACHA PALE KIMILILI KWA SHAMBA ? ka answer ni no , basi usitusumbue .

Ebrufication or issa voltron.

Mtu akilipiwa flight na kampuni ajaribu kutulia. Your excitement betrays your peasantness :D:D:D sasa ukipandishwa private jet si utajikunia?

You should have removed your wedding ring

Osha choo ya ndege na utoke haraka bila kusumbua.

Ushamba ni kipawa.Your hands befits a sugar cane cutter in chemelil…

Mambo @Purple .Habari ya tennessee valley

Aii hapana mimi si mtu wa huko.Nifanyie connection nikuje huko nione snow.

Fanya connection kwanza alafu tutaongea.

Ujaluo ni gharama kweli.

unaenda kazi ya supermarket ama wotchiman kama @pamba huko uarabuni?

Were you by any chance known as 1Omosh in the other website? Ungeweka tony nyadundo kwa iso surround sound, high fidelity,wood grained, emirates embossed, full leather ear ardonements… but do you say. To accompany the full bodied sampagne beverage of the French variety as you cruise quietly over sublime skies with your better half. Kisum sity here we come.

nisafishe macho nikutumie kakitu,by the way wewe hutegea wateja wapi?

:D:D Now I loathe my local flights! Goddamit!!!

Watu hapa wamejaa wivu kweli. Its a rare and good experience kupanda A380. Hope i get a chance too. Nimechoka na hizi Embraer 190

Enjoy your flight bana, nothing hinders anyone of us not to do the same…

[ATTACH=full]169224[/ATTACH]

Ohh nice, enjoy. Kesho pia mimi niko safari, economy lakini.
Watu wa wivu wangoje flood waogelee. Ang’oo!