…using airtel sim card, what advantages does it have over safcom sim card? I want to buy an airtel line and have it as my official line but I need to know the benefits I will be reaping over the current line.
Definately safcon ni wezi!.. was once a dedicated safcon subscriber for yrs but ever since my relocation to airtell kuna afadhali kiasi!..
Unliminet ya 1k inanitosha kabisa monthly. Napata simu across all networks, smses kibao na internet bila shida? … na kama unafanya kazi safcon unatuchunguza kawaambie nimesema hivyo!.. GERRARAHIA!
2 Likes
@ziga thanks, nitainunua hiyo ya airtel basi nijionee
Karibu!.. change is ALWAYS GOOD!
n usi sahau mwitu za airtel
Nichanue brathe, hizo huwa aje?
1 Like
mabig wig wa huku ndio hujua venye kuenda
Sawa mzeiya
usihamae saf tafasari, good tings on the way
1 Like
Which ones? Probably increasing Bob Conmemore’s salary.