For the shagzmondos like kapoti

Abuga Oribo Dalton says

How to survive in Nairobi Brothers and Sisters, Welcome.tume jionea mengi

Rule No.1

Ukikatiwa Mtura, mwambie aonje moja. Akisema ameshiba ama ako sawa, jua ni paka.

Rule No.2

Usiwahi salimia mtu kwa mkono. Hallo! Hallo! Na mdomo. In fact, hio ndio kazi ya earphones. Kufanya usiskie salamu ukiwa town.

Rule No. 3

Usiwahi kubali kuombewa town. Wewe utageuka wa kuomba watu fare bila kujua. Utapoteza time na kila kitu uko nacho.

Rule No. 4

Mtu akisema amepotea town, mwambie atumie google maps ama aongee na Soja. Ukimwonyesha njia, wewe utapotea njia. Hapa sitaeleza sana

Rule No. 6

Ukiwa Globe ama OTC, usitumie simu dirisha ikiwa wazi. Utauziwa hio simu ukifika town/CBD.

Rule No. 7

Ukiitwa brathe town ama siste, jua it’s about to go down. Unataka kuuziwa kitu wameiba ama unataka kuibiwa kitu utauziwa. Run!

Rule No. 8

Hapa sasa ndio kila mtu anafaa kuwa attentive. Ukiskia wanasema kiatu mia… Skiza vizuri hio mia wanasema mara ngapi? Ukiskia ‘kiatu mia’ jua hio ni 100. Ukiskia “kiatu mia, mia pekee” hio ni 200. Ukiskia " kiatu mia,mia,mia" hio ni 300. Akili mtu wangu.

Rule No. 9

Ukitaka kucross njia Nairobi, hata ikiwa one way, angalia both ways. Wasee wa nduthi huwa ni kama wako na shule yao ya driving special. Utadhani njia iko clear kumbe Njoro wa Nduthi amekuja na speed. Usishangae ukiona watu wanaangalia both sides kwa one way road.

Rule No. 10

The best is saved for last. Hii ndio Mama yao. It’s a whole topic on Introduction to How to survive in Nairobi. TREAT EVERYONE AS A SUSPECT. Ndio maana inaitwa NAIROBBERY. Nikiexplain nitaharibu. Hapa inahitaji tu Character Development ndio uelewe.

ukiwa Nairobi all the time kaa rada!!

"Stolen "

Only 6-10 make sense. Zingine ni ummeffi