For social drinkers

As a long life teetotaler naulizaje na i economy ya JSKS kuna watu bado wanakunywa pombe

3 Likes

Hii economy ni mbaya lazima ukunywe kiasi otherwise utachizi

3 Likes

Some people take alcohol instead of tea and water

1 Like

Tuliacha banae.Ilibidi coz hapa kenya kila mtu hadi muuzaji wa pombe ni hustler.Una buy pombe anakunyunyizia dawa ya kuongeza kukunywa pombe ingine.

1 Like

Clubs are actually emptier than before. Jana kwanza mvua ilianza kunyesha tao ilikuwa empty save for maybe those who had personal means ama would elave using taxis.

1 Like

addiction levels zinaongeseka ndio mununue kwa wigii

hehe where do you guys drink? Mimi nikiingia SJ nafunguliwa chupa yangu safi namumunya tusker zangu tano polepole bila wasi wasi ya mchele or anything fishy…