najua kizungu lakini sielewagi hawa manyang’au wa america husema nini.
Hehe, huyo ata si the stereotypical Black American. Yake iko polished kiasi coz ni Londoner. Ako na a lot of substance kwa hii interview.
nimejaribu kusikiza the first 30 seconds nikashindwa.