Saidieni hapa guys,sasa DSTV NOW ilikataa kabisa kwa my android tv,inasema device is not compatible,one reason ni app haiko kwa playstore ju playstore yangu haina google play services that enables an app to run,si mnipee app naeza stream Champions league leo sasa,DSTV cant be casted neither,so msee ni awatch kwa lappy,ama mniambie hii google play services naeza install aje.
Tafuta sports808.com
Zank me lera.
Kuna site inaitwa (rojadirecta) huwa nastream nayo all live games as long as Ni top division ya any country Hadi game za Zambia Na Tz mm huchungulia…inanisaidia Sana juu Mimi Ni mtu ya livebetting
Nasema app,streaming sites niko nazo kadhaa.
Wako na app.
Nataka app bro,juu sasa TV ni android,inaeza accomodate app.
Nice,let me check.
okay ingia Google play store search app inajiita LIVE FOOTBALL TV iko Na logo ya mguu imevaa socks za red imekanyaga ball
Cant spot the app though,thanks. Ukipata link unaeza niskumia hapa.
Mshenzi hii rink haifanyi…Ni score ama Ni sport
Score 808 but ni slow
Mbona unataka app?
weka link
Kuingia android tv na browser hukua slow asf…App hukua best.Halafu huskii tv yangu imenyimwa rights za playstore. So DSTV imekataa na niko na logins.
Live Football Streaming HD
Weka yacine TV. Lakini commentators ni ghasia. Huwa wanaongea kiarabu. Bismillahi na wallahi ndio mingi. Lakini retio Jambo will sort you. Una nyonga sauti halafu Una kimbia pale Kwa arocho.
Hahaha
Sijai fikiria hii. Na sasa internet ikilag na akina arocho wanaongea bado?:D:D
Hio Iko Sawa.
Manze jana nilistream Liverpool Napoli from DAZN na commentary ilikuwa mbele ya the live action, ilikuwa extremely awkward ilibidi nimemute bana ndio nienjoy game