Football prediction

This extent is amazing. Though I don’t trust the process, Ile game ya Man u & arsenal was very accurate.

Ilibidi ahadi itimizwe.

1 Like

1 Like

Lazima kuwe na mshindi japo sijui ni timu ipi.
Suluu bin suluu ni ya muda mfupi tu.

1 Like

Niko nyuma ya Fulham FC

1 Like

Hasidi. :grinning:

1 Like

This is where I belong…

1 Like

Acha iwe Sare Sasa.

1 Like

Niatarajia mzaragazwe magoli mawili bila jibu… :grin:

Martinez ameokoa jahazi.
0-1.

1 Like

Alaa! Naona mkishinda mechi.

1 Like

Ishara zote zaonyesha hivi.

1 Like

Huyu kasuku ame predict correctly

1 Like

Not yet over.

1 Like

Done.
Diallo hoyee. VAR na mkosi.

1 Like

Hii nayo mmeshinda. Congrats! Kwa wana man u. Mngelikuwa top four ningeketi chini na kukakaza kabisa mtoke sare ama mpoteze.

1 Like

Fulham huwa kizingiti kikubwa kwa timu tajika Ila leo wameambulia patupu.

1 Like

Last season but one walitufanya tusibebe EPL

1 Like

Paul the octopus akowapi?

1 Like