Football: Didier Ndong and Papy Djilobodji

Shida ya waAfrika matym huwa nini? Yaani hawa jamaa wanachezea Sunderland lakini waliamua hawatarudi training after summer. Ati wamerudi juzi na wana expect all is fine.
Wamejua hawajui. Sacked and facing contract breach suits. Yaani msee anamake it alafu anaanza kujipiga kifua hapa kama @uwesmakende akiwa na momo inakaa Jacinta Adhiambo.
Some time back kuna huyu Jamal Mohammed (I think) was playing for Harambee. Discipline = zero! Kushikisha tu, kadrink, na madame. Fitness ikashuka na jamaa akasahaulika.
Moral of the story: It won’t matter how talented you are if you have no discipline to put in the hard work.

Sunderland should write to Home Office to withdraw their work permits…

Yeah Jamal (Malo) threw away a promising career.
Had all the skill in the world but didn’t put in the hard work. Veve + sheesha were his life hapo Pango. He even had some sheesha joints, not sure if they’re still operational.

Same thing with a certain KPL midfield maestro. Dude drinks til 5-6am, has a game at 3-4pm

I remember nikiwa high school in the great Katch High, discipline was always an issue with our Green Commandos.
Iyo time kuna wenye walikua wanachukuliwa majuu na teams za ligi za Sweden/Norway but a few months later wanarudishwa juu ya indiscipline, pombe na mapoko. Such a shame juu Kenya kuna talent ya foota

Kuna kijana alikuwa talented sana akichezea KCB as a GK alikuwa anastay hapo Bangu. The guy alijiwaste sana na veve, fegi na keg, mwingine alikuwa striker noma sana but right now he has been imprisoned for life in Kamiti for robbery with violence.

Waah. Ramah Salim pia siku hizi naskia zake ni veve tu mtaa.

john mo by any chance?

Nyambura Francis Kahata.

I remember there’s a Saturday we went for reggae at former Kengeles Nbi West, we got him there around 12-1… Left him there at 4:30…
Sunday afternoon he’s playing for Gor :smiley:

Waah…Kahata alikua finisher sio kama Lukaku…what a waste!!!