Food prices : My alternatives that work

The prices of food may have gone up yes, lakini am sure there are alternatives Kenyans can be easy with if they were just willing. Well, achana na ile some guy was advising Kenyans to eat rats.

  • Fried / boiled ndizi with stew
  • Rice and the same
  • Waru + Ndizi with the same
  • Sweet potatoes + Greens (ingawa sipendi sweet potatoes sana)…
  • Githeri + Waru
  • Chapaaaaat Or Mandaaaas with stew ama greens
    … and many more.

FYI, I can eat Fried Ndizi everyday for a year. Better than sembe for me any day.

[FONT=Book Antiqua]Mandugu zanguni waache kusema ati nimelala njaa na Mkate moja, Kangumu sita na Strungi jug mbili.[/FONT]

Chai tu ndo shida yangu. Siezi acha. Labda nipunguze maziwa basi. Hio tu ndo the only irreplaceable.
[ATTACH=full]98796[/ATTACH]

4 Likes

Mimi kama bachelor kuna siku nakula mkate mboga na abcado… Hehehe

1 Like

Only solution in watu walime

hehe huyu ni talker mgani

Hehehehe. Umeamua carbohydrates na starch ndio zako boss? Si ka ukali na skuma tu kametosha kama nyama haiwesmake? Kama hakuna pachet msur, si unawekelea eggs ama kitu kama hiyo! Most of hizo vitu hapo juu ni sawa tu na kukaa njaa. Ati rice :D:D:D

1 Like

…black tea na managu

1 Like

It’s a bit long but this provides some valuable insight. Take some time and read through:

[MEDIA=facebook]10155390596119429[/MEDIA]

Click on ‘see more’.

3 Likes

nilime wapi kayole?

1 Like

Hapo kwa potatoes umenoa,zinauzwa tatu kumi pahali niko

:D:D Buda mayai ni 10 bob. Hizo ni mandazi mbili. Ukiongeza jug ya strungi hio ni supper

1 Like

Umelimwa akili