Flyover of Uhasibu Dar es Salaam Tanzania has been officially opened

MAGARI RUKSA KUPITA JUU MAKUTANO YA UHASIBU

[ATTACH=full]487725[/ATTACH]

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameruhusu magari kuanza kupita juu katika makutano ya barabara ya Kilwa na Mandela jijini Dar es Salaam ili kupunguza msongamano kwa watumiaji wa barabara hizo.

Akizungumza alipokagua na kuruhusu magari kuanza kupita katika barabara hiyo, Prof. Mbarawa amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha inapunguza msongamano jijini Dar es Salaam na kuwawezesha wananchi kusafiri kwa uhakika na wakati.

“…TANROADS hakikisheni magari yanatumia barabara za juu kuanzia leo ili kumuwezesha mkandarasi kuendelea kujenga barabara za chini,” amesisitiza Prof. Mbarawa.

Waziri huyo wa Ujenzi amesema kuanzia mwaka 2023 barabara inayoishia Mbagala itaendelea kujengwa kuanzia Mbagala hadi Vikindu KM 17 ili kupunguza kabisa msongamano katika barabara hiyo ya Kilwa.

Amemtaka Mkandarasi BOTEX anayejenga sehemu ya katikati ya Jiji kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha haraka eneo hilo na kuondoa usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizo.

Kwa upande wake Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, BRT, Eng. Barakael Mmari amemhakikishia Waziri Mbarawa kuwa kazi ya ujenzi wa barabara hizo itakamilika kama ilivyopangwa mwezi Machi mwakani na ujenzi kwa sasa umefikia asilimia 82.

Naye Mbunge wa Mbagala Mhe. Abdallah Chaurembo amesema ujenzi wa barabara hiyo utapunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa Mbagala iliyokuwepo kwa zaidi ya miaka 15.

[MEDIA=twitter]1608801661631492096[/MEDIA]

Muonekano wake

[ATTACH=full]487726[/ATTACH]

We umbwa that’s nothing special, no cares about your shithole country tanzania. Najua ata mkilaunch choo utakweka hapa mtu bladfakin kabisa.

umbwa = Mbwa

Musiba yuko wapi mkubwa?

you TBC intern why always pictures of roads and dala dalas, we are not all fundi wa mjengo. this village is full of hormonal school boys and immoral bachelors who masturbate to female television new anchors and tampon adverts and also those feminine clothing window display mannequins. they need to know real women exist out there. i want you to safishe mesho with pictures of your sindiga and digo women once in a while. turn your idle energy to proving how beautiful your iraqw and mbulu girls are. warn us the dangers of chagga women. then we can come to inspect both the women and your stupid roads. ama vipi ndugu?

Ummeffi thread. Hata Kenya na nchi zingine kuna hizi vitu. Wewe ni mbwa koko takataka ghasia

so, you hate this thread so much?

satanic spirit is full in your heart. go and repent

:D:D:D:D:D…dar ni kama westy or naks

Nonsense brainless moron from a low IQ sampling.

What? do you have an IQmeter and you measure people’s intelligence!?

I can tell from the posts you make

where did you neo- socialist monkeys learn big english words?

Do you own english!?

pumbavu ya cc emu kama huna picha za wanawake watanzania nyamaza kimya. this is KENYA talk not tanzania talk.

For the lips of the adulterous woman drip honey, and her speech is smoother than oil; but in the end she is bitter as gall, sharp as a double-edged sword.

Proverbs 5:3‭-‬4

mushienz! muliua maghufuli kwanini? nongwe ya upare

Mbwa hii hamna aibu raisi wenu akija kufia Kenya na viwete wenu wamejaa kwa streets zetu.

Sindiga and Digo :smiley: