Ka unauza z3x box samsung + lg edition, nck pro box, miracle/volcano box/infinity get in touch… i need these gadgets
Nunua yako pare ebay. Hapa mtaa ni ngumu hasora akuuzie Volcano yake na vile mikia na ng’ombe ni kibao za kuflash.
Issue ni hizi stuff zinifikie… A lot of things can go wrong.
Wadau wa hii kijiji hudai wautumia Avechi.
ntabonga nao niwaskizie