First Thread

Mwenye ako na namba ya Mr miller anipm

Nataka nijue we nan kule Tz hahahahhahahaha huku na kiswahili kinabadilika iko mambo ya kisii

Ikitokea mwezi ukaisha bila Jamii Forums ku-resolve issues zao na TCRA, nina uhakika hii forum ita-take over.

Na wakirudisha yetu, hii ya huku isiondolewe…mawe mazito tutakuwa tunayarushia huku.

mkuu. Mganga umemficha wap?

Hahahaaa yaani huwezi kuamini…

Mis Natafuta sijui ameshaingia mjengoni??

Washtueni wakuu wrote tujumuike pamoja… Wakina Lara 1

@Demiss upo?

Finally tumefika

Ahsante sana

Mpaka kielewekeeeeeeee

aisee ilibidi tuje na mizigo yetu yote huku ili tufanye share na care …tubebe na mikeka yetu tya meridian sport pesa na GSB

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw

Hio accent ya Kenya ni tamu ajee!!

cc @Smart911

Nipo

Huuuhu iko balaaa hii aseeee

Hahahahaaaaa!!! When the old meet the new! In CNN voice…