Motorola DynaTAC 8000X
[ATTACH=full]489776[/ATTACH]
There was a time having a mobile phone was really a big deal:D
[ATTACH=full]489859[/ATTACH]
Kuna mwingine alisema hizo phones za kwanza kwanza zilikua na ability to render your brain maji maji na radiation with 2,3 years of use.
wakanunua wire gauze as an anti radiation kit.
:D:D:D
Reminds me of certain Nokia phones. Hadi wakaandika “Radi-Free” kwa ear-piece ya Nokia fulani sikumbuki jina.
[ATTACH=full]489878[/ATTACH]
Wireless Bluetooth earbuds ndio zinakaranga brains sasa.
Unsubstantiated prokopanda my fren, Bluetooth devices emit low levels of nonionizing radiation. Exposure to low amounts of this type of radiation is not harmful to humans unless unatumia earphones zinatoshana na toyota vitz. Studies await though, unaeza chukua utuchangamshe