First Hand Experience..

You are next!..UNLESS.

https://www.youtube.com/watch?v=4um0HBhzf0U

Waah, hapo ni mbagathi

hizi video zinabore

Virusi Hatari. Jamaa apelekewe thufu Moto iko na firi firi ifungue hizo bronchi.

Scary

Huyu inakaa ni campaign anafanya.

Kali sana. Where’s he admitted?

Venye amesema “I thank Kenya Embassy” ndio nimejua hayuko Kenya.