First ever trial

Wadau… Leo nimetuma fare kwa mara ya kwanza. Munipee moyo aki, magoti imeanza kuisha nguvu!

Do you know of Courage the Cowardly Dog?

A fool & his…

Welcome to the club

Case closed… KYD568SJ37 CONFIRMED. THE FARE HAS BEEN EATEN

[ATTACH=full]279834[/ATTACH]

Tuambie ni pesa ngapi ndio tujue kama tutakuhurumia ama kukutukana

Hii umbwa ni troll tuu, juzi ilikuwa hapa ikiambia mraiya tuachane na maraya tutume pesa home. Mutu jinga kabisa

:D:D:D

Id rather ask her to take uber and I’ll make payment if she arrives than gamble by sending money to a ghost. Guys stop exposing yourself too much. Integrity is not a word you can use to describe these thots. Their moral compass keeps spinning

Huyu Sio Lanye, ni gyal dem FWB tu. Sidhani kama maraya ako na akili mzuri anaezakula fare!

Chief acha tu, Machos yanatiririka tu

Yeye asha benefit. Pesa imekuliwo

Kwani asipokuja utafilisika ama?

Hope ulikua anagaa umeoshwa mecho a few times in case now ucheswe isikue in vain.

Unatwambia kwa nini na unajua sheria ya kijiji. Juu ya kutuambia maneno yenyu tafasari tuoshe mecho akikuja.

Umetumia nani fare? Bro yako arudi shule?