First date

Hey majamaa.
If you are going to meet a girl you met online, for the first time, do you give her fare back home? Swali tu wadau.

Wanakuja

Waharikishe!

acha nitafute pop-kons

ati gavana wa nairobi anaitwa?

Tafuta za gunia mzima. haha

na wa kitui?

haha zii. Hii Nairobi tu.

na gavana wa turkana?

Jackson Mandagor

Huyo ni ule mse mreeeeeefu amekonda Square huwezi jua kando ni wapi

unampatia fare akiwa kama nani??? na mkitoka date ulimwaga ndani??

na wa malindi?

Wewe ni incel gamma male, so your best option ni kumpeleka 5 star hotel first date, alafu umpatie corporate Uber account ya kutumia any time, utalipa tu end month.

Mtu mzima na aliye na akili timamu hawezi enda CBD na hana bus fare ya kurudi unless ameenda “ku-hustle”

[SIZE=7]NEEEEEEVEEEEEER[/SIZE]

you need to be slapped. kama hna fare achana na yeye

Fare is just another word for service charge. Huyo dem ni malaya na anataka ulipe.

Advice taken wakubwa.

Debatable bruh.

For me fare na feeding are on the same level. Vitu basic across all dates

Ukibuyia dame food. Hiyo ni service charge?