First car advice

:D:D:D:D:D

What are you two on about?

Avoid Kibo due to reliability issues.

Hizo ni gari gani Kodiaga.
@Dasani, enda dagoretti show ground Kila Sunday. Utapata watu wanauza magari zao kwa wingi. Tafuta gari safi na hio bei. Unaeza pata Honda fit, Nissan note, Mitsubishi Colt na vitz ama hata premio. Hapo ni ku bargain. Utapata wanauza 400 bargain.
Cc. @magreb (Kuna time ulitaka kujua zaidi kuhusu place utapata gari na bei safi)

Zi utapata gari safi sana. Provided hauna haraka.

Nope. Tembea ziko. Kuna watu wanauza na bei ya kutupa juu ya shida ya pesa. Kuna mtu aliniuzia shamba 300k na ikona title, alikuwa na shida ya doo. Shamba ni 50 by 100 along kangundo road. See? Usiwe na mbio ukitaka kununua kitu yeyote

Vehicles in kenya are overpriced tupu

Hizo nmetaja ni gari za masikini. very old. Na ni Jamuhuri Show Ground sio Dagoretti. Pia facebook market place kuna magari safi

Umeona amesema 300k? Shienj.

Bro, If your budget is 300k, just buy a 110. Hata ukipeleka garage it’s cheap to fix and parts are everywhere. Otherwise for a new car, trouble free you need 1M+ to import a clean car kutoka pale Nagoya.

Take it from someone who bought his first car at 270k… forget about kijiji ya wasee wa legsus na shoebaru.


Budget ya huyu jamaa inachezea hapo 300k, kwa nduthi ya India. Yamaha entry level XT 125 yenyewe ni 400k plus. Tricky sana.

The first car that popped in my mind for that price ni Toyota 110. Gari safi sana. Just ensure that Air conditioning inafanya kazi

110 iko sawa. Let me look for it

Ukiona pia saafi let me know

Ukipata gari ensure umeenda na mech kuangalia isije ikawa balaa. Alafu mech pia ulizia beshte zako wenye wana magari and whoa re likely to recommend one who’ll actually help you.

Baas, hapo show ground utawahi gari safsana. Huwa naona mtu anaendea gari Mombasa nacheka tu. Facebook marketplace sijaingia huko bado

Yes, watanzia 400 una bargain hadi mnaelewana.

Why don’t you use that amount as a deposit and get a top up loan ,Gari mzuri Haina mashida ni from 700 K .

Loan hapana… wacha nianze what I can afford

A car ya 300 k na Sio Suzuki Alto utakusumbua Sana ,pesa ya garage every week is equal to a loan deposit ya Sacco Sio bank ,this broadly,my fren.

Hii section ya magari naona uko knowledgeable kweli kweli.