Fire Fighting Engines Built In Tanzania. Wenye Wivu Wajinyonge

https://scontent-bru2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14089167_1356590947692141_6294299337807053341_n.png?oh=137502e28ce3e522b2767ee3eb6aff26&oe=5852A8BD

Alai unatusumbua na ujinga zako.

Assembled in =/= built in

Mbona zinakaa kushoot blanks?

Hapa kazi tuu @123tokambio karibu kaka

@Jakoyo Tulia kaka…wataalamu watakutimua mbio aisee

Hehe siuhamie bongo ndugu uwache kutusumbua

http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2015/08/bomet5.jpg

Takataka ya Kenya ndio hi

Heheheheehe…
Sasa hilo ni lori ama ni tractor? Huu mzaha mtuachishe. Wengine wakiyaagiza magari ya kisasa nyinyi mwajiundia yale ya 1970. Kweli Ungati ni gharama…

http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2015/08/bomet1.jpg

Takataka nyengine ndio hii;
http://www.businessdailyafrica.com/image/view/-/2773062/medRes/1051712/-/efdvmhz/-/fire.jpg

https://www.youtube.com/watch?v=EdDV2rVKEMY

Aiiiiiiiiibbbbuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Khasia

Meffi 1 unafaa tu kuhamia huko uache kusumbua. Who said we are in a competition for things that really don’t matter?

Nothing wrong with the Bomet trucks. They are good. The problem is they are using water to shut down the fire. You are not supposed to use water alone. You use flame retardants for such fires. Water makes the situation worse. The flame retardants suppress the fire.

Na huko Tanzania kwani hakunyeshangi ama mvua mlipeleka wapi?

Whats the PSI of the water pump?

Nope…saw a video of a Bomet ‘fire’ pickup retrofitted with a car wash pump. kula lakini not where elives are dependent

so much praise for tanzania lakini hakuna mtu anataka kuhamia huko lol.

mayoooo, crimes against osungu.dll committed! @introvert ebu karibia