Finance Bill

Nilipigia MPig wa kwangu kuuliza kuhusu msimamo wake kwa vipengele kadhaa za finance bill na mimi nikamuambia maoni yangu kabla wajadilie jana. Sasa ni kama ameingia Embobout Forest hashiki simu za kufuatilia. Anyway, hii finance bill imekukuguza aje?

Unfortunately I don’t think MPs can do anything for us, IMF terms and conditions means executive has to raise taxes