Iko wapi ile picha ya msee anajitext na simu mbili
Nothing new under the sun.He is a simp though ,what with all those paragraphs making lengthy explanations to a Kunguru .Women will FOREVER punish nice guys
Oupussy
Beta male chronicles. Can’t relate
Two phones one person. Wapi hiyo picha tumalize hii story
Hii kitu hufanyika sana especially now girl child amekuwa empowered kuliko boychild
Hujawai andika paragraph?
At least he has mustered the courage to follow the light.
You make a decision and stick to it till the day of resurrection no explanation no attempts to justify your decision.Period
A man who announces his plantetion plan is useless
Niaje mkubwa?
Ila ila ila naenda kwa mamangu
Huyo ni msee anaclout chase kwa TikTok. Vitu kama izo ata sidhani mtu anaweza text because chances are mtu an bibiye wangeshagombania so many times mpaka iyo time ikifika you will either have blocked her or just reply a few messages.
@cortedivoire mlamba tako leta pikcha.
umeona pia, eh? ni mutu ya coast. amerudi pwani kusuburia embe chini ya mnazi. :D:D
Hii ni umeffi, assuming it’s true, huyu jamaa ni simp mbaya, unajengea aje wazazi wa Bibi nyumba, unasomesha sisters wake, na wewe huna any tangible investment, mpaka ukipoteza job unarudi kwa mamako.
I am told kamba women are very demanding. utanjenga mpaka maghorofa kwao ILIHALI kwenu uchochole unawamaliza.