Cultures are different
Wanavaa skirt kama @PHARMACY na @Thirimaii
Unadai mkia?
Adi iyo [SIZE=6]UTALAMBER?[/SIZE]
Nyinyi husema ati mwacha mila ni mtumwa. How were we covering ourselves up before jungus arrived?
We might laugh but those people are proud of their culture.
Wako myama pengine una know. Bure kabisa Ngombe ici
@Thirimaii ataosha macho mpaka Christmas sasa
Lakini kusema ukweli huyu pressdent has nothing on Aisha Jumwa
A nation’s culture resides in the hearts and in the soul of its people.
Mahatma Gandhi
Kuna culture zingine za ujinga
I should have added that as time goes by some of our ways of living do change. We adapt or even borrow what we believe enriches our cultures. And discard whatever we consider to be harmful or adds no value.
Mwizi sugu kutoka uthiru niaje ?
Masai huvaa Shuka na hamsumbui
Minister wenu wa Defence Aden Duale huvaa ivo.
hata woria na kina gabra.
How do their women look like and what do they wear?