Fig tree Ngara

Nimepitia hapo fig tree Ngara as I headed to Stima plaza I was surprised uko pia malaya wamepanga line mchana and they call u as u pass. Enyewe hii carfew imekuwa noma

Ni kubaya

1 Like

Tuma evidence au unyonge monkey polepole

hii nini ??

:smiley: anamaanisha car few yaani gari chache

:D:D:D:D

Does fig tree have hoes? Nimeenda huko na sijawahi waona?

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Lakini jam ya fig tree sio mchezo, I’m sure carfew itasaidia sana :smiley: :smiley:

Carfew as in hakuna jam ya magari ama

1 Like

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Nikama imeisha kabisaa

@mastermwenyewe ni jamaa wa chocha tu

That’s the problem kila mtu huku anajichocha

Bila picha hii story ungeenda upigie nyanya yako

This @mastermwenyewe handle has never posted any effidens since he joined ktalk 97 years ago

Achana na umaraya uokolewe na Yesu.