FIFA waipa heshima ya Simba sc ya Tanzania

Fifa imeamua leo iwe mapumziko kwenye kombe la dunia huko Russia ili kupisha ufunguzi wa kombe la kagame katika jiji la dar es salaam,hatua hiyo inatokana na ushiriki wa simba sc ya Tanzania katika michuano hiyo.
Habari za kichinichini kutoka makao makuu ya Fifa yaliyopo zurich uswisi zinasema President Infantino ni mshabiki mkubwa wa simba ya tanzania na kama isingekuwepo inashiriki michezo hii basi leo kombe la dunia lingechezw kama kawaida.

https://www.reactiongifs.us/wp-content/uploads/2013/10/lol_idi_amin.gif

Hahaha duh hatari!!!

Ndugu mapumziko baada ya makundi kuelekea mtoano yapo Siku zote…or is it a joke???

Yani nyie watu na mijisifa yani acha tu

Teh teh teh! Hii kali…

Mbona sio za juu juu? You wank with self gloat na vile you are a no body (same case to that lowly team apparently making WC stop)

tuliza mshono we boya

[ATTACH=full]180471[/ATTACH]

Kuuliza tu, mbona licha ya Tanzania kuwa na wachezaji bora, hawako kwenye ligi kubwa duniani kama La Liga, EPL, Serie A na kadhalika? Ama ni patriotism?:smiley:

ligi ya Tanzania ni kubwa haina haja ya kwenda huko

Uswizi

Hata mimi niliskia ni kubwa sana…Lakini sijui ni kubwa pande ipi…

@Nzagambadume = @Mtanzania Magufuli

This thing is damn funny.

:D:D:D:D:D:D
Saitan!!

Belgium pro-league,Morocco premier league…south Africa super league…

When bantering with a minor or mentally retarded person you let them win all the arguments.

Who watches those? :D:D:D

[SIZE=6]Cuntasaurus rex[/SIZE]