We escaped the worms this time round but the fertilizer was a fake.It is all evident from such plantations.I hope.they’ll make it
[ATTACH=full]187980[/ATTACH]
We escaped the worms this time round but the fertilizer was a fake.It is all evident from such plantations.I hope.they’ll make it
[ATTACH=full]187980[/ATTACH]
kabla hatujashika kayamba…hii ilipandwa lini
Poleni nduguzanguni. Hii Kenya ni Nyasaye tu atatusaidia otherwise we are all ferked up big time.
Uli top-dress?
Mi huambianga watu you cannot expect much output where you didn’t input. Was helping a certain farmer plant maize, kando tu ya mkulima mwingine. When it came to fertilizers, chemicals and such, he only went for the top in the market. Of course it was costly but at the end of the day mimea iko na afya. Watu hupitanga shamba wanacompare yake na ya neighbour wanasema lazma yeye ni murogi amenyonya afya kutoka mimea ya neighbor. My point is, Usibuy fert. juu ni cheaper, buy juu unajua quality iko juu. Likes of kina Yara Mila fert. A bag per acre. Otherwise waeza nunua hii ya serikali yenye ni cheaper nimeshahau jina uweke two bags per acre bado production iyakua chini.
I narrated once how fake fertilizers are being sold. Be very careful when buying fertilizers.very careful
You’re just being an alarmist. The lower leaves drying is coz of water-logged land. Huyu mtu hakutumia fertilizer or even the top dresser. A lazy farmer. Nobody in the Rift is complaining of bad fertilizer as at now. If there was a complaint, it would be before top dresser is applied. Not when mahindi imeanza kuzaa
Hii hapa fertilizer and top dresser ilikua ya serikali. Sometimes you give the devil his due. Fertilizer subsidy imesaidia sana
[ATTACH=full]187988[/ATTACH]
Wewe unajua kila kitu.That land is well drained na sio hiyo pekeee mashamba mengi mahindi iko namna hiyo na wataalamu wasema fertilizer ilikosa so content.Its on a slope.Unajua nyinyi ndio mliiba fertilizer…ni kama mliiba mzuri mkatuwachia ile fake…
Hii nitauzia watu wa silage juu hjyo expenses itakuwa mob
Hii tulitoa NCPB bwana.
Ukulima ni tricky, kaa mbali na hizi success story zinakuwa paraded kila mahali. Changamoto huwa mob.
Fake seeds, ukiepuka hio ni fake herbicides, ukipenya hio ni fake fertilizer, mazao ikiwa poa middle men wako.
But biggest challenge huwa post harvest losses.
Kumbe ni yako?? Hehe, very lazy of you. Sasa unalaumu anything else but yourself eh? You’re the only one complaining fertilizer as at now. Those who were affected by bad fertilizer could top dress well and you’d revive the crops. Luckily, this year shida imekua tu armyworms.
And who can accept such as silage?:D:D
hiyo ni ya serikali, ile imechorwa flag, fake as shit
Hata ulichelewa
angekuwa karibu ningechagamkia nyatua na kameni na offsprings zao hata kama ni kanusu acre ya hio mafefe ziwe zinaikula polepole
Si yangu pekee bwana ni ya wengi na ndio maana waliita watu wa KEPHIS KALRO wakasema ni fertilizer.mbaya
Yeah right!
Watu was ilofi concrete jungle tumeketi huko ---------> tukingoja ngeur ya ninety bap bila kusumbua …
Mwangi wa iria alisambazia wakulima lime ati ni CAN. Wale walioitumia kutopdress wamekipata. serious nitrogen deficiency
for the love of them cows