Feminazi atamaliza boy child

Trevor angetuma tu hitmen wacheze kama. I I can never play some games with women juu atalia kiasi kotini and hell be slapped with a fine ya millions.
[ATTACH=full]476153[/ATTACH]

lakini pia huyo Ombija alikua ana divulge hiyo information yote akifikira nini. He acted like a retard ati we offered to soun d proof one of the houses. Did he honestly think that was a wise statement? ama alitaka aonekane mafia. wacha apambane na upuzi wake

Kwani hana bwana? Anyway alitesa sana huko 90s

Hii kitu bado imesumama.

Emma Too ni nani? I have never heard anything about her.

Hiyo club ifungwe na si tafadhali. Wakenya mko na tabia funny imagine suggesting hitmen for someone making a noise complaint. Law and order needs to prevail.

Kenyans need to RISE and reclaim normalcy , fakaz like Ombija need to be hunted down by that community like a wild animal. yeye ndiye ahame one man cant incovinience a whole community.

That case will set a precedent. Ikifungwa Pia Mimi na kimbia. Kuna kanisa Friday huwa hatulali juu ya Kesha ya watu wanne.

But mileage sahii imefika Timbuktu

Former miss Kenya on the early 2000s

Enyewe siezi mjua. Early 2000s nilikuwa mtoto mdogo sana.

True. For the sake of hearing and hearing care. Not just those in residential areas but hizi za town na matatu. We need to enforce what is acceptable decibels for recreational exposure.
Zingine are loud to the extent of getting ear pain that means tayari imefika minimum 80dB which is really loud for such a confined space and for short time. Risk of getting noise induced hearing loss is very high

Kuna ingine ya Owuor Saturday asubuhi jamaa anafungulia pre- recorded music loud ka fuckin. Very annoying

Emma Too ameanza vita na Ongwae mwenyewe uzuri he ain’t a governor no more, labda pesa itembee but naona Too akipita na hii kesi.

Ongwae’s money is nothing compared to those who bought Emma Too that house. Hao ni watu walikua Moi’s kitchen cabinet…and they still call the shots

amueni usiku moja mtembelee hio mraia na waelezwe the error of their ways.

Hapa ndio mutu huombaaa stima ipotee.

Lakini hii madam anakaa hadi sahii anakula pesa za ‘important’ wazees.

There is a good reason why joho took her to mombasa

Damn that bi-seksho pharmacist too, kwani anakuwanga na ‘hit-list’ ndefu aje.