Feels good to have 1Gbps fiber

image

yuko calabash…

10mbp/s @ 2500

yep true I have pulled a 100mbps line to my business na baki na 900mbps yakuuza.
Biz ikishika I might get a second line

1 Like

Mimi nataka kuanza streaming platform ya movies. JTL 200 mbps ya biashara ni 30k

Streaming platforms itabidi utafute shimo utatoa 10gbps+

Target yangu ni watu 30-40, one gadget per view. Unajua 5mbps ni mingi sana Kwa screen ya simu.

sikuizi streaming platform ndio you stand out lazima you support 4K na hio inahitaji 20mbp/s upload,kama mimi I only stream in 4k kama ni uongo wacha niione in crisp and clear quality.

Starlink then ndio option


Atleast 1TB

what do you use for billing?

Jaba

my main os is pfsense i throttle bundle for 2500 5mbps, mwezi ikiisha inajikata yenyewe till you pay again, no billing software