wow! kama ni usiku mrefu nimewai ona maisha yangu yote ni jana, hadi saa tisa ndo usingizi ilinichukua. sijui kama ni usingizi ama ni kuzimia kwa uchungu. man! consistent pain from 7pm that started ubruptly, unashindwa ulale na side gani ukiamka uketi nje bado haiachi. mpaka nilisahau ku lock mlango. leo saa tatu ndo nimejiskia all pain gone but hio sikio imefungana. phew!!! wah!! nimeumwa na kichwa vibaya before tumbo pia but hakuna uchungu imewai ni kosesha usingizi, nimekua naskianga tu watu wakisema wanakosa usingizi i take it for granted hata malaria haujawahi nikosesha usingizi majamaa. leo via phone my siz joked eti thea iz two more causes of usingizi that am yet to experience, rejection and toothache. hehehehe! the first one sidhani, binadamu anikoseshe usingizi? nah! never! but ya toothache ndo inaniweka wasiwasi sasa kuna meno moja inakuanga a ticking bomb! naenda kungo’lewa hosi ya nazareth naskianga kwa meno hawa ma sisters ni ma pro. anyways cod olive oil, check, panadol check, strepsils check, the nasal passage was what linked throat to the ear na kwa hivyo homa was the cause of the earache nothing else. thanks to jirani and mona lisa ua reasoning is appreciated achana na mambuzi mee zingine hapa. mpaka naambiwa nieke mafuta ya bunduki hehehe!
Hio kiroboto imekufia kwa sikio
Sikio ikiuma weka mafuta kidogo. It cools off in seconds