Wale watu huambia wengine ati waende ocha wakalime. ghasia nyie
[MEDIA=twitter]1336539962859278336[/MEDIA][ATTACH=full]338407[/ATTACH][ATTACH=full]338408[/ATTACH]
Farming isn’t for the faint hearted. Mostly, for new comers , luck is the most important thing
Hizo melon za kwa guka museveni huwa tamu kushinda hizi tucker tucker za Kenya. Having said that, I don’t understand why these washienzi give their sob stories after just one attempt. Who said people make profits the first time they try a business? Kuna baptism by fire, you must experience things that you never thought existed. Ndio mi huona business plans zingine nacheka tu, coz you can tell the person who wrote it has no experience. Kama hu-expect hasara kwa biashara then tafadhali baki kwa employment where you’re assured a salary.
Hii cyber yako inapatanga profit Kama Kazi yako ni kutorrent porno kila siku
Cyber na PS ndio ghaseer zote zilikimbia kufungua wakati corona ilishika, the assumption being kazi yetu huwa tu kuwatch movies na kucheza games na bado tunaokota pesa. Washienzi wamegundua kwa kila biz lazima utafute customers na u-deal na cartel.
:D:D:D
Mwambile asikile. Arrowroots pande hii, melon pande ile, kitunguu huko…tegea moja ikihara, zingine zitafua dafu.
A season gone bad, this is very common in farming.
kuna cartel kwa bizzz ya cyber?
Police, Kenya Film Classification Board, MPAKE, PRISK, MCSK na wengineo. Fungua yako mjuane vizuri.
Kila mtu ana uwezo wake… Like our rural folk will tell you kuna wale wana mkono wa kulima wengine hawana,wengine mkono wa biashara, wengine, ukahaba, wengine kunywa pombe… Just keep trying till you find pahali mkono wako uko.